Mimbali ikiwa imechomwa moto.
Ofisi ya Kanisa ikiwa imeharibiwa na moto kabisa
Baadhi ya vifaa vya kanisa vikiwa vimeharibiwa kabisa
Kushoto ni msikiti walipotokea
Waislamu kabla ya kuvamia kanisa kulia. Nyumba hizi za ibada ziko jirani
zikitenganishwa na barabara tu
Hawa wanafanya maombi na
nimesikia wakiwaombea Waislamu Mungu awasamehe
No comments:
Post a Comment