To Chat with me click here

Monday, October 15, 2012

MWILI WA VICK MACHA WAAGWA, VILIO VYATAWALA.


Hivi ndivyo msiba wa Mwanahabari Vick Macha ulivyokuwa leo. Kwakweli hali ilikuwa ni ya kusikitisha mno, ambapo vilio na simanzi vilitawa pamoja na baadhi ya wanahabari kuanguka na kuzimia.

Maxmillian Kattikiro Blog inapenda kutoa pole zake za dhati pamoja na kuungana na ndugu, jamaa, marafiki na majirani wa marehemu katika kumwombea marehemu ili Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. "Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe"

No comments:

Post a Comment