To Chat with me click here

Thursday, October 11, 2012

LHRC YAADHIMISHA SIKU YA KUPINGA ADHABU YA KIFO JANA!


Jana, LHRC imeungana na wanaharakati wa kupinga adhabu ya kifo duniani. 

 Maadhimisho ya jana yamefanyika kwa kuwa na mdahalo wa kufana sana na ushuhuda wa mmoja wa waathirika wa adhabu ya kifo, aliyeponea tundu la sindano kunyongwa, japo amekaa gerezani kwa zaidi ya miaka 18, kwa kosa ambalo hakulitenda! 

 Wenzetu wa Ubalozi wa Uingereza, mashirika rafiki, wanavyuo wa vyuo vya elimu ya juu, wanafunzi wa sekondari (Kibasila), wanahabari na wananchi wa kawaida kabisa walijuika.

No comments:

Post a Comment