Mtuhumiwa aliyekamatwa kwa tuhuma za kukutwa na
fedha bandia, Bi. Asha Abdallah (wa tatu kulia), akiwa chini ya ulinzi wa
askari kanzu, kwenye ofisi za wakala wa M-pesa Yombo kwa Lulenge, wilayani
Temeke, Dar es Salaam jana, wakati akijaribu kuziweka katika mtandao wa simu
yake.
No comments:
Post a Comment