Mh. Rais
Mstaafu Benjamin Mkapa akikaribishwa na Mama Balozi mara baada ya kuwasili
nyumbani kwao Brussels kwa ajili ya chakula cha jioni
Pichani ni baadhi ya watanzania na maafisa ubalozi
waliojitokeza kumpokea Mh. Mkapa
Mh. Mkapa akisaliana na wadau
Ukaribisho ukiendelea
Wakina mama hawkaubaki nyuma
Mh. Mkapa akikaribishwa
Baadhi ya watanzania waliojumika na Mh. Mkapa
ktaika chakula cha jioni nyumbani kwa Mh. Balozi Kamala
Rais mstaffu wa Tanzania Mh. Benjami Mkapa akiwa
katika picha na Mh. Balozi wa Tanzania Belgium Dr Kamala nyumbani kwake
Rais mstaafu wa Tanznia Mh. Mkapa akiwa katika
picha ya pamoja na viongozi wa Kikundi cha Upendo cha Ubeligiji na Mh. Balozi
wa Tanzania Ubeligiji Dr. Kamala
Rais mstaafu wa Tanzania Mh. Mkapa akiwa katika
picha ya pamoja na familia ya balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr Kamala
Baadhi ya viongozi wa Jumuyia ya watazania
Ubeligiji na Uholanzi wakiwa katika picha ya pamoja na Rais msatafu wa Tanzania
Mh. Benjamin William Mkapa pamoja na balozi wa Tanzania Ubelgiji Mh. Dr Kamala
No comments:
Post a Comment