To Chat with me click here

Tuesday, October 9, 2012

MAMIA YA WANANCHI IRINGA WAFIKA KUMSIKILIZA MSIGWA, NASSARI

Baadhi ya wananchi wakiwa na mabango katika mkutano huo mwembetogwa Iringa jana.
 Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Peter Msigwa akiwa Pamoja na Joshua Nasari Mb Arumeru

Mbunge Nassari aka. “Dogo Janja” akihutubia
 Mbunge Msigwa akihutubia
 Wananchi waliojitokeza katika mkutano huo

No comments:

Post a Comment