Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za
mwisho na kuaga mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, marehemu,
Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini
Dar es Salaam, leo Oktoba 16, kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa
heshima za mwisho wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu huyo
aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini
katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa
wa Mwanza, Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga
jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, kushiriki katika shughu za msiba huo na
kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu
huyo aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimfariji mke wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus
Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo
Oktoba 16, kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho
wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi
karibuni jijini Mwanza.
No comments:
Post a Comment