Basi la Dar Express la kutoka Arusha kuja Dar limeungua na kuteketea kabisa maeneo ya Korogwe kuja Segera.. Hakuna abiria yeyote aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.
Endelea kufuatilia Maxmillian Kattikiro Blog hii kwa taarifa zaidi juu ya hili.
No comments:
Post a Comment