To Chat with me click here

Monday, October 8, 2012

NYUMBA ZA MABONDENI ZAANZA KUVUNJWA

Mkazi wa Bonde la Mkwajuni, Manispaa ya Kinondoni (jina halikufahamika), akiwa amebeba bati alizoezua kwenye nyumba yake wakati wa operesheni ya kuvunja nyumba zilizojengwa mabondeni iliyoanza eneo la Hananasif, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment