Mtoto
Juliana akiwa amelazwa katika hosipitali ya Taifa jijini Dar es Salaam
ambako amepelekwa kutokana na jitihada za mtandao huu na
wadau mbali mbali wanaoendelea kuchangia
Mtoto Juliana akisaidiwa na bibi yake
Mtandao huu Maxmillian Kattikiro unaendelea kuwapongeza wote wanaoendelea kuguswa na kuungana na wadau
wengine kumchangia fedha za matibabu ,mtoto Juliana kama anavyoonekana akiwa
ameunga uso wake kwa moto ni yatima anahitaji msaada wako ili kunusuru maisha
yake waweza kutuma mchango wako kwa njia ya M-PESA katika namba hii 0754 026
299 au Tigo Pesa 0712 750199 namba hizi za Bw Francis Godwin wa mtandao wa Francis Godwin Blog.
Nawaomba tuungane
kufanikisha kuokoa maisha ya mtoto Juliana Mwinuka na Mungu atatuongezea zaidi.
No comments:
Post a Comment