Dkt Slaa akimtambulisha mgombea udiwani wa chama
chake wa kata ya Mwawaza,Shinyanga
Dkt.Slaa akihutubia
Mgombea
udiwani wa CHADEMA
Huu ni mkutano wa kumnadi mgombea wa CDM wa udiwani katika kata ya Mwawaza
ulioongozwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Dr Wilbroad Slaa.Kumbuka huu ni
mkutano tu katika mojawapo ya vijiji vya kata hiyo.
No comments:
Post a Comment