Akizungumza na uongozi wa kampuni ya CHICO (hawapo pichani), Magufuli
aliwataka kutekeleza mradi huo kwa kuzingatia makubaliano
Magufuli akikagua barabara inayokarabatiwa na kampuni ya CHICO kutoka
nchini China baada ya kujenga chini ya kiwango mwaka 2008
Meneja TANROADS mkoa Singida Yustak Kangole akitoa taarifa ya marudio ya
ujenzi wa barabara Sekenke-Shelui, km 33.3, kwa waziri
No comments:
Post a Comment