Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Vicky Macha
(juu na chini) likishushwa na kuingizwa kwenye sehemu ya kuhifadhia maiti
katika Hospitali ya KCMC mjini Moshi muda mfupi uliopita. Maziko yanatarajiwa
kufanyika kesho Jumatano.
Mama wa marehemu Vicky (katikati) akilia kwa uchungu kabla ya mwili
kuhifadhiwa KCMC.
Wanahabari kutoka Iringa wakiwa nje ya Hospitali ya
KCMC kabla ya kuuhifadhi mwili wa marehemu Vicky Macha muda mfupi uliopita.
Maziko yatafanyika kesho Jumatano.
No comments:
Post a Comment