To Chat with me click here

Saturday, October 13, 2012

SKENDO ARV BANDIA: KIGOGO CCM AHUSISHWA


NINI MAONI YAKO JUU YA SAKATA HILI LA HUYU KIGOGO WA CCM KUJIHUSISHA NA BIASHARA YA DAWA ZA ARV'S ZA BANDIA. 

  • JE ANAWATAKIA WATANZANIA MEMA KWELI?
  • INAKUWAJE MTU KAMA HUYU ANAPEWA NAFASI YA KUGOMBEA UENYEKITI CCM PAMOJA NA HALI YA UFISADI MKUBWA KAMA HUU?
  • INA MAANA CCM WANASHIRIKI NA KUWAHUJUMU WAATHIRIKA WA UGNJWA HUO HATARI?
  • JE MANENO YAO YA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA HATARISHI KAMA VILE UKIMWI NI YA DHATI AU NI MANENO YA MDOMO TU?
NIMEKUWA NIKIJIULIZA MASWALI HAYO HAPO JUU BILA KUPATA MAJIBU. TAFADHALI WATANZANIA NISAIDIENI MAJIBU. 

No comments:

Post a Comment