INTERNET CAFE INAUZWA & KUKODISHWA
Kattikiro
Internet Café & Stationary
(Gongo la
Mboto - Kituo Kipya) inakodishwa au kuuzwa kwa mtu yeyote aliye tayari.
Ofisi hii ipo kandokando mwa barabara kuu ya Pugu (Pugu Road) na ina
nafasi kubwa ya kutosha.
Kwa wale watakaohitaji kupangisha, ofisi itapangishwa nzima ikijumuisha vifaa vifuatavyo:-
Kama utahitaji kununua vifaa / ofisi zima vifaa vifuatavyo ndivyo vitakavyo uzwa:-
Gharama
na Bei ya kukodisha/kupangisha au kununua mali hizo ni maelewano na
mwenye mali. Kwa yeyote mwenye kuhitaji tafadhali wasiliana nami kwa
anuani ifuatayo:-
Kattikiro Internets & Stationaries,
Gongo la Mboto / Yombo Vituka
Mail Bag: 46326
Dar-es-Salaam, Tanzania.
Phone: +255 614 123160 Fax: +255 736 604899
Mobile: +255 655 444666
|
Jinsi Ofisi hiyo inavyoonekana kwa ndani. |
CHANGAMKIA OFA HII, WAHI MAPEMA AU PIGA SIMU KAMA ILIVYOELEKEZWA HAPO JUU.
Haya wadau changamkieni "issue" bei ni maelewano tena poa kabisa. ukiitaji vuta waya tuu.
ReplyDelete