To Chat with me click here

Friday, October 19, 2012

BREAKING NEWS!!! VURUGU ZAZUKA KARIAKOO MUDA HUU


VURUGU KUBWA ZIMETOKEA NA ZINAENDELEA SASA MAENEO YA KARIAKOO AMBAPO ASKARI WA KUTULIZA GHASIA (FFU) WAMEKUWA WAKIWATAWANYA WAISLAMU WANAENDELEA KUANDAMANA NA KUFANYA VURUGU WAKISHINIKIZA WENZAO PAMOJA NA SHEIKH PONDA ALIYEKAMATWA SIKU CHACHE ZILIZOPITA KUACHIWA HURU. 

PAMEKUWA NA MLIPUKO WA MABOMU YA MACHOZI TOKA KWA ASKARI HAO WA FFU KWA MALENGO YA KUWATAWANYA WAISLAMU HAO. 

**********************

TUTAENDELEA KUWAPA HABARI KAMILI BAADAYE, ENDELEA KUFUATILIA BLOG HII (MAXMILLIAN KATTIKIRO BLOG....)

No comments:

Post a Comment