Chama cha
CHADEMA kimezidi kuonyesha umwamba dhidi ya CCM katika uchaguzi wa kijiji na
kitongoji huko Kilosa.
Taarifa zilizoingia hivi punde zinasema katika
uchaguzi wa Mkiti kijiji cha Kifinga CHADEMA imeshinda kwa kura 450
dhidi ya 150 za CCM.
Katika uchaguzi wa Mkiti wa Kitongoji cha
Ruaha B CHADEMA imeibuka na ushindi wa kura 600 dhidi ya kura 250.
No comments:
Post a Comment