Viongozi wakiwa eneo
alilofia Mwandishi wa Habari wa Chanel Ten Daudi Mwangosi, kumepandwa mti kama
kumbukumbu.
Katibu mkuu wa
Chadema Dr Wilbroad Slaa akimfariji mtoto wa Marehemu Daudi Mwangosi.
Mke wa marehemu
Itika Mwangosi akifarijiwa.
No comments:
Post a Comment