Daraja
la Kigamboni likiendelea kujengwa katika bahari ya Hindi eneo la Kurasini.
Daraja hilo litakapokamilika litakua na njia 6 pamoja na barabara za juu na
kuwa moja ya Daraja kubwa na la kipekee Afrika mashariki na kati.
Mmoja
wa wafanyakazi wa daraja hilo ambaye jina lake halikupatikana mara moja
akiendelea na zoezi la kupiga picha huku akiwa amesimama kwenye mtando unaopitisha umeme mwingi bila kuchukua tahadhali wakati waziri wa
Ujenzi Dkt. John Magufuli alipokua akikagua maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo
leo
No comments:
Post a Comment