Dondoo Muhimu
Waziri wa mambo ya ndani E. Nchimbi
amefika Jangwani kuongea na waandishi wa
habari walioandamana kwa ajili ya kifo cha Mwangosi
lakini amezomewa vibaya, na walipoulizwa waandishi ni wangapi wanataka
awahutubie wote wamemkataa, ikabidi aondoke kwa aibu kubwa.
Nchimbi kafukuzwa kwa aibu na waandishi
wa habari wanasema yeye kaja kuwapokea kama nani wakati hawajamwalika?
Mabango yaanasema
"camera ya mwangosi ipo wapi"
"kamuhanda ni muuaji, kaua songea kaua iringa"
Kwa mujibu wa Clouds
FM jana ni kuwa waandishi wa habari wamezuiwa kuhitimisha maandamano yao
viwanja vya Mnazi Mmoja kwa kuwa Halmashauri ya Ilala watakuwa wanafanya
shughuli zao hapo!
JAMII
FORUMS
No comments:
Post a Comment