Askari wa Jwtz wakiwa wamebeba moja ya jeneza la
mwili waaskari wa 3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji wakivuka
mto Lamada, Sudani walikokwenda kulinda amani chini ya jeshi la umoja wa
Mataifa muda mfupi kabla ya kuiaga mili hiyo Lugalo jijini Dar es Salaam
Askari wa JWT wakingiza miili ya marehemu katika Gari tayari kwa safari
ya kuelekea mikoani kwa ajili ya Mazishi
Mkuuwa Majeshi nchini Devis Mwamunyange
akifariji mke wa moja wa askari walifariki Bi, Fatuma Chunguile
Mkuu wa Majeshi nchini Devis Mwamunyange akitoa
heshima za mwisho kwa miili ya marehemu
No comments:
Post a Comment