Mtoto
Juliana Mwinuka mkazi wa kijiji Cha Mavanga wilaya ya Ludewa mkoani Njombe
aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya CCBRT wodi la wagonjwa wa Macho, sasa
amehamishiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi.
Tunaendelea
kuwashukuru wote wanaoendelea kutoa michango yao kunusuru uhai wa mtoto Juliana
ambaye ni yatima pia tunawaomba muendelee kumchangia mtoto Juliana kwa kupitia
namba za Francis Godwin kwa Tigo-Pesa 0712 750199 na M-Pesa 0754 026 299.
No comments:
Post a Comment