To Chat with me click here

Friday, September 14, 2012

MKUTANO WA CHADEMA MILTON KEYNES - JE UNAIPENDA TANZANIA?


JE, UNAIPENDA TANZANIA?

       KAMA JIBU NI NDIYO, BASI NJOO UUNGANE NASI MILTON KEYNES
 
NJOO UWE SEHEMU YA HISTORIA
NETHERFIELD MEETING PLACE, FARNBOROUGH NETHERFIELD
MK6 4JB kuanzia saa kumi jioni mpaka saa tatu usiku.

  NJOO UJIUNGE NA MFUKO WA  DHARURA
AKINA MAMA NJOONI MJIUNGE NA JUMUIYA YA WANAWAKE CHADEMA

Kutakuwa na usafiri kutoka London na Reading  REFRESHMENTS WILL BE AVAILABLE

kwa taarifa zaidi, tafadhaliwasiliana na wafuatao:-

Mwenyekiti: Mr CHRIS LUKOSI - 0790382811& Mwakilishi wa Reading: Mr GERALD LUSINGU

                            PEOPLE'S POWER!

No comments:

Post a Comment