Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza naMwenyekiti
wa Alliance for a Green Revolution in Africa Dkt.Kofi Annan(kushoto) pamoja na
Mkurugenzi wa Bill and Melinda Gates, Bibi Melinda Gates wakati wa ufunguzi wa
Mkutano wa Kimataifa wa” Africa Green Revolution Forum 2012,” uliofanyika
katika ukumbi wa Ngurdoto mountain Lodge mjini Arusha.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano
wa Kimataifa wa”African Green Revoultionmjni Arusha.
No comments:
Post a Comment