Pamoja na zuio la Polisi kuwataka wanahabari kusitisha maandamano yao yaliyofanyika leo, lakini wao wameamua kufanya maandamano yao wakiwa wamefunga midomo yao kwa Gundi (Bandeji) maalumu kama ishara kuwa maandamano hayo ni ya amani, ili kulaani vikali mauaji ya mwandishi mwenzao kamanda Daud Mwangosi aliyeuliwa kikatili na mmoja wa maaskari waliokuwa wakipambana na wafuasi wa CHADEMA huko mkoani Iringa wiki moja iliyopita katika ufunguzi wa matawi ya chama hicho mkoani humo.
REST IN PEACE "KAMANDA" DAUD MWANGOSI.
No comments:
Post a Comment