Kikao cha Uchaguzi cha Halmashauri ya Manispaa
ya Nyamagana Jijini Mwanza kimemchagua diwani wa Kata ya Mkolani Mh. Stanslaus
Mabula wa CCM kuwa Meya wa Jiji hilo mara baada ya kumshinda mshindani wake
Charles Chinchibela wa CHADEMA aliyepata kura 8 ili hali Mabula akipata kura
11.
Tutawaletea taarifa kamili baadaye kidogo, endelea kufuatilia blog hii....
No comments:
Post a Comment