TAWI LA UK
CHADEMA TAWI LA UK LACHANGIA HARAMBEE YA KUMSAIDIA
MJANE WA MWANGOSI
Tawi la chadema UK jana walijiunga na wanaharakati
wengine duniani kote kumchangia mjane wa mwandishi aliyeuawa DAUDI MWANGOSI, (R.I.P)
Mchango huo amekabidhiwa Mwenyekiti wa Mjengwa Blog
kiasi cha shs 1,012,500 cash
Wako katika ujenzi demokrasia ya kweli na uhuru wa
ukweli
Chris Lukosi
Mwenyekiti - Tawi la UK
No comments:
Post a Comment