Mwenyekiti
wa Chadema UK, Chris Lukosi akimkabidhi kadi mwanachama mpya Neema Kambona,
mtoto wa mwanasiasa mkongwe Mzee Oscar Kambona, shughuli fupi ilifanyika
Barking baada ya watanzania wengi kuamua kujiunga na Chadema kupitia oparesheni
zake za M4C zinaendelea.
No comments:
Post a Comment