To Chat with me click here

Thursday, September 20, 2012

TUSHIRIKIANE KUOKOA MAISHA YA MTOTO HUYU

Mtoto Juliana Mwinuka
Mtoto Juliana Mwinuka wa kijiji cha Mbugani kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoa wa Njombea amekuwa akiishi kwa mateso makubwa kutokana na tatizo la kuungua kwa moto katika paji lake la uso kama anavyoonekana ,mtoto huyo kwa sasa anafikisha miaka miwili kwa mateso kama haya .

Watanzania na wadau wa mtandao huu popote duniani tuungane kumchangia fedha za matibabu binadamu mwenzetu huyo ambaye kwa sasa hana msaada wowote .

Kwa yule aliyeguswa kumchngia waweza kutuma fedha zako kwa njia ya M-Pesa 0754 026299 namba ya mmiliki wa mtandao wa Francis Godwin.  

Kwa hisani ya Francis Godwin Blog...

No comments:

Post a Comment