Waandishi
wa Habari wakiwa wamebeba Mwili wa Marehemu kuelekea Makabirini
Wakiwa
wanafanya ibada ya Mwisho kabla ya kuanza maziko
Hapa
wakiwa wanashusha mwili wa marehemu katika Nyumba yake ya milele
Mwili
wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa tayari katika kaburi.
Kuangalia Picha zaidi bofya hapa chini....
Wananchi
wakifukia mwili wakati wa shughuli hiyo ya mazishi.
Mke
wa Marehemu Daudi Mwangosi akiweka Shada la Mauwa na aliwa analia kwa machungu katika kaburi la marehemu mumewe.
Watoto wa Marehemu
wakiwawanaweka mashada ya maua sasa.
Dr Slaa akiweka Shada la
maua.
Dr. Slaa baada ya kumaliza
kutoa heshima zake za mwisho
Mh.
Mark Mwandosya akiweka shada la maua pamoja na mkewe katika kaburi la kamanda
Daud Mwangosi.
Rais
wa UTPC akiweka shada la maua
Mweneykiti wa Mbeya Press
Club akiweka shada la maua
Mwandishi
wa Mbeya Blog yetu ndugu Joseph Mwaisango akitoa heshima zake za mwisho.
Katibu Mkuu wa Chadema akiongea na wananchi juu ya tukio hilo la mauji ya kamanda Daud Mwangosi.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa mzikoni wakifuatilia kwa umakini mkubwa matukio.
Wananchi wakirejea kutoka kwenye mazishi hayo, na huu ndo ulikuwa mwisho wa mazishi hayo ya kamanda Daud Mwangosi.
No comments:
Post a Comment