To Chat with me click here

Wednesday, September 19, 2012

KATTIKIRO INTERNET CAFE & STATIONARIES


Ndugu wapendwa, 

Napenda kuwatangazia nyote kuwa, Kattikiro Internet Cafes & Stationaries (Gongo la Mboto - Kituo Kipya & Yombo Vituka - Lumo) tunatoa huduma ya Internet pamoja na Stationary kwa gharama nafuu sana. 

Mazingira ya ofisi zetu ni ya kupendeza, masafi, usiri (Privacy) kwa wateja na hakuna bughuza ya joto kwani tunatumia ACs za kisasa kabisa ili kufanya wateja wetu wafurahie huduma zetu. Internet yetu inakasi (SPEED) kubwa ya kutosha (3.1Mbps - Broadband Connection) kufanya kazi zako kwa muda mchache sana tofauti na Internet Cafes nyinginezo.

Tunawahudumu wenye uzoefu wa kutosha kuhudumia wateja wa aina mbalimbali, tena ni wakarimu na wacheshi sana. Hakika ukifika kwetu, hutachoka kurudi tena. 

vilevile tunauza vifaa mbalimbali vya maofisi na mashuleni, pia tunatoa huduma za kufanya 'service' mbalimbali kama za Komputa (Computer Maintanance), Photocopies, Catridges refilling, Network Installation & Designing, Network Maintanance, n.k 

Ili kutufikia tafadhali wasiliana nasi kwa anuani hii hapo chini: 

Kattikiro Internets & Stationaries, 
Gongo la Mboto / Yombo Vituka 
Mail Bag: 46326
Dar-es-Salaam, Tanzania. 
Phone: +255 614 123160
Mobile: +255 655 444666

No comments:

Post a Comment