Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika Mkutano wa
Viongozi wa nchi za Maziwa Makuu wanaokutana katika ukumbi wa mikutano wa
Munyonyo Commonwealth Resort jijini Kampala leo Septemba 8, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taif
Mhe. Shamsi Vuai Nahodha (kulia kwake) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajab Gamaha wakielekea kwenye
mkutano wa viongozi wa nchi za Maziwa Makuu wanaokutana katika ukumbi wa
mikutano wa Munyonyo Commonwealth Resort jijini Kampala leo Septemba 8, 2012
Picha na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais
Ikulu.
No comments:
Post a Comment