Baadhi
ya wanahabari wakitoka mahakamani
Askari
anayetuhumiwa kumuua Daudi Mwangosi leo amefikishwa katika Mahakama ya wilaya
ya mkoa wa Iringa na kusomewa mashitakata yake. Huku akiwa chini ya ulinzi
mkali ambao ulifanya wanahabari waliofika mahakamani kujitahid kupata picha kwa
ugumu.
Akisoma
mashtaka mbele ya hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya Daines lymo
mwendesha mashtaka ameeleza kuwa mtuhumiwa anaitwa Pacificus Cleophase Simon
(23)
No comments:
Post a Comment