Narudia, mwaka 2015
sitagombea Ubunge. Nitafanya kampeni ya Urais, ama mimi kama mgombea wa chama
changu CHADEMA au kama mpiga debe wa mgombea wa chama changu. Miaka 10 ya
Ubunge inatosha na kwa ngazi hiyo ni vema niwaachie wengine wasukume mbele
gurudumu la maendeleo ya Jimbo na mkoa wetu. Huu ndio uamuzi wangu wa mwisho na
nimeshawaeleza wananchi wa Jimbo langu na mkoa wa Kigoma toka mwaka 2005.
(Inatoka kwenye ukurasa wake wa Face Book)
(Inatoka kwenye ukurasa wake wa Face Book)
No comments:
Post a Comment