WANAFUNZI WA BAOBAB WAFANYA ZIARA YA KIMASOMO BOA.
Meneja
Masoko wa Benki ya Afrika Tanzania, Bw. Solomon Haule (aliyesimama kushoto),
akizungumza na wanafunzi wa Kidato cha Sita katika Sekondari ya Baobab,
waliofika Makao Makuu ya benki hiyo, Dar es Salaam juzi kwa ziara ya mafunzo.
No comments:
Post a Comment