Rais Chama cha Walimu nchini (CWT) Mwl.
Gratian Mukoba akitoa taarifa ya chama hicho
UONGOZI
wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT), umesitisha mgomo uliokuwa unaendelea
nchini, hivyo kuwataka walimu kurejea kazini.
Rais
wa chama hicho, Mukoba amesema wameamua kusitisha mgomo, baada ya kuingiwa na
hofu ya viongozi wao wa juu kuhofiwa kukamatwa.
No comments:
Post a Comment