Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kitoa heshima za mwisho kwa marehemu
Mhashamu, Askofu Pascal William Kikoti katika ibada ya mazishi iliyofanyika
kwenye kanisa kuu katoliki, jimbo la Mpanda, Septemba 1, 2012.
Mapadri wakiweka
kaburini mwili wa aliyekuwa Askofu wa jimbo la Mpanda Mhashamu Pascal William
Kikoti kaburini katika mazishi yaliyofanyika kwenye kanisa kuu la jimbo
Katoliki la Mpada Mjini Mapanda Septemba 1, 2012
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitupa mchanga kwenye kaburi la Askofu
Pascal William Kikoti katika mazishi yaliyofanyika kwenye Kanisa Kuu la
Katoliki jimbo la Mpanda mjini Mpanda Septemba 1, 2012.
No comments:
Post a Comment