Watafiti wa masuala ya viume vya ardhini na majini,
wamegundua virusi vipya vinavyoangamiza kwa kasi kizazi hicho kusini mwa
nchi ya Hispania.
Wahafidhina wa mambo ya viumbe wanasema kwamba virusi
hivyo vinauwezo wa kurukia viumbe wakiwemo vyura,uyoga,mijusi na
majini na kuna uwezekano nyoka pia wakaathiriwa na virusi hivyo.
Virusi hivyo vinauwezo mkubwa wa kushambulia ngozi ya
tumbo la viumbe hivyo na kusababisha kansa na hufa kutokana na kuvujwa kwa
damu mfululizo tumboni.
Kiongozi wa utafiti huo Dokta Stephen Price kutoka katika
chuo kikuu cha London anasema kwamba kuna dalili kuwa ugonjwa huo
unasambaa. Na ugonjwa huo umeshaonekana katika nchi za China, Ufaransa
na hata
Netherlands.
No comments:
Post a Comment