Tunapenda kutoa habari hizi kwa wa Tanzania
wote na wapenda maendeleo, Siku ya Jumamosi Aug 25 kutakuwa na ufunguzi rasmi
wa tawi la chama cha demokrasia na maendeleo Wageni rasmi wa ufunguzi wa tawi
hilo ni Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Jodeph Mbilinyi (Mr. 2/Sugu) Sherehe za
ufunguzi wa tawi hilo zitaanza mida ya saa 5:PM (Jioni)
No comments:
Post a Comment