GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndullu akiongea na
waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu masuala mbalimbali
ikiwemo mfumo wa mawakala wa Benki hiyo wa kununua dhamana za Serikali na hati
fungani kwa njia ya mtandano(online) kwenye mnada na hivyo kupunguza ule
utaratibu wa dhamana wa kupeleka karatasi katika Benki ili kupata huduma hiyo.
Maswali--- GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno
Ndullu(kushoto) na Naibu Gavana wa BoT, Dk Natu Mwamba(kulia) wakinukuu maswali
mbalimbali ya waandishi wa habari jana (leo) jijini Dar es salaam kabla
hawajaanza kuyatolea ufafanuzi.
No comments:
Post a Comment