To Chat with me click here

Sunday, August 26, 2012

CHADEMA KUFANYA MKUTANO MKUBWA MOROGORO KESHO


Tarehe 27 August, Jumatatu, kutakuwa na mkutano mkubwa sana ambao haujawahi kutokea hapo Kiwanja cha ndege kwa ajili ya wakazi wa morogoro mjini.
Mapokezi makubwa sana kutokea Kihonda round about, kwa viongozi wakuu Wakiongozwa na Dr Slaa na wabunge watahudhuria.
Watawasili saa Tano mchana. Magari yameanza kuzunguka Morogoro nzima kutangaza.
Kutakuwa na maandamano hadi Kiwanja cha Ndege. 
Wakazi wa Moro mjini kaeni mkao wa kula raha ya M4C kwa mara ya kwanza.
Nawatakia amani na upendo. Hakutakuwa na vurugu.

No comments:

Post a Comment