Muonekano wake kwa nje.
MC na mchungaji Haris Kapiga wa Clouds FM
Mc Harris Kapiga akiwa kazini.
Kabati la vyombo
Akiwa katika ofisi yake ya nyumbani, kuna sehemu ya kufanyia mikutano,Salon,Studio,na sehemu ya mazoezi.
Ukifika wakati wa misosi kwa wageni.
Midundo na burudani zilitawala, namwona Veronica Joseph akiwa amepiga pamba ya blue
Chumbani sehemu ya kujipamba.
Kitanda chake cha kulala
Nimeamini
kuwa ukifanya kazi ya Mungu kwa uaminifu naye atakulipa hapa hapa
dunia, na utakuwa ushuhuda kwa watu wengine. Mama Getrude Rwakatre siku
ya Jumapili alikuwa anahamia rasmi katika nyumba yake mpya iliyoko Mbezi
Beach jijini Dar es Salaam pembezoni mwa bahari ya Hindi. Waumini wa
kanisa hilo wapatao takribani 300 walifika mahali hapo kwa kushuhudia
nyumba ya kifahali.
Mch.
Mh. Getrude Pangalile Rwakatare kabla ya kuhamia kwenye hekalu lake
jipya alikuwa akiishi Mikocheni B katika nyumba ya kifahali pia. Alizidi
kukaa katika uwepo wa Mungu na kufanya kazi yake kwa bidii na kujituma.
Katika mahubiri yake kwa waumini wake amekuwa akiwatabiria watu
mafanikio na watu wamefanikiwa kutokana na utabiri wake. Leo hii imekuwa
zamu kwake ambapo Mungu hakutaka kumuaibisha kama mtumishi wake,
akamshangaza kwa muujiza wa kumuwezesha kujenga jumba la kifahari kwa
gaharama kubwa sana,
Nisowachoshe kwa maneno mengi, naomba tuangalie kazi ya Mungu kwa wanadamu.
Habari kwa hisani ya Riziki Mgaya.
No comments:
Post a Comment