Aliyekua
Balozi wa Tanzania nchini Italia,Balozi Costa Mahalu ambaye alikua mshitakiwa
namba moja kwenye kesi ya matumizi mabaya ya fedha za ununuzi wa jengo la
ubalozi wa Tanzania nchini Italia, pamoja na mshitakiwa namba mbili Grace Martin (kushoto) wakiwa wamezungukwa na Waandishi wa Habari
muda mfupi baada ya kusomewa kesi yao ambayo wameshinda leo na kuonekana hawana
hatia yeyote kutoka na kukosekana kwa ushahidi uliokamilika.
Balozi Costa Mahalu akiwasiliana na ndugu na jamaa kwa
furaha baada ya kuonekana hana hatia yeyote na kuachiwa huru kuanzia
sasa.Balozi Costa Mahalu (pili kulia) akiwa na Wakili wake,Mabere Marando
(kushoto) wakipongezwa na wadau. Balozi Costa Mahalu akukumbatiana na
ndugu zake.
No comments:
Post a Comment