To Chat with me click here

Tuesday, August 21, 2012

JIMBO LA IGUNGA WAZI, MAHAKAMA KUU YATENGUA USHINDI WA DK KAFUMU


Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Igunga - katikati mwenye Skafu, Dk. Kafumu  

Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imetoa hukumu ya kesi ya ubunge iliyokuwa ikimkabili mshindi wa ubunge jimbo la Igunda Dk Peter Kafumu (CCM).Hukumu hiyo ya kupinga matokeo yaliyompatia ushindi Dk Kafumu imetolewa leo ambapo imemuengua mbunge huyo katika nafasi yake ya ubunge

Shauri hilo lilifunguliwa na mlalamikaji Joseph Kashindye dhidi ya Dk Kafumu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na msimamizi wa uchaguzi.

Kwa habari zaidi uangana na "
Maxmillian Kattikiro Blog" baadaye ....

No comments:

Post a Comment