Gari za polisi wakiwa
tayari kwa lolote baada ya mkutano wa chadema kuahirishwa leo jioni, vyanzo
vyetu vya habari vilijaribu kumtafuta mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Mhe.
Peter Msigwa ili kujua sababu za kuahirisha mkutano ambapo polisi walidai kuwa ni
sababu Sensa za maendeleo na makazi zilikuwa zinaendelea hivyo wanaogopa zoezi
hilo kuingiliwa na Mkutano huo wa CHADEMA. Baadhi ya picha za Chiku Abwao
akiongea na wananchi na nyingine akiongea na kiongozi wa polisi.
No comments:
Post a Comment