Uongozi wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo Tawi la Chadema DMV, unawakaribisha waTanzania wote kuhudhuria
mkutano utakaofanyika Siku ya Jumamosi Spet 1,2012,
Mkutana huo utaaza rasmi mida ya saa
4:PM (Kumi za Jioni)
Wageni rasmi
wamkutano huo ni Mhe. Freeman Mbowe na Mhe Joseph Mbilinyi
ADDR. Addr: 9670 Baltimore Ave. College
Park. MD 20740
Nyote Mnakaribishwa
Chakula vinywaji Bure
No comments:
Post a Comment