Rais
dkt. jakaya mrisho kikwete akikutana na Rais wa Malawi Mhe. Joyce Banda mjini
Maputo Msumbiji leo asubuhi kuzungumzia kutafuta suluhu katika mgogoro wa mpaka
kati nchi hizo uliopo kwenye ziwa nyasa.
Rais
dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais wa Malawi Mhe. Joyce
Banda na wameelezea nia ya nchi zao kufikia suluhu kwa njia za kidiplomasia
kupititia kamati maalumu iliyoundwa kushughulikia mgogoro huo.
No comments:
Post a Comment