JANA polisi walizuia
CHADEMA kufanya mikutano Iringa kwa madai wamezuia mikutano ya siasa kupisha
zoezi la sensa, ambapo kulizuka fujo na kupelekea aliyekuwa mwandishi wa
Channel 10 ndg. Daudi Mwangosi kupoteza maisha kwa kupigwa bomu na polisi.
Lakini wakati huo huo CCM jana imezindua kampeni Zanzibar kama inavyoonekana
pichani, tena bila hata kujali amri hiyo ya kutofanya mikutano ya siasa. Dkt.
Bilal azindua kampeni za Uchaguz Mdogo wa jimbo la Bububu – Zanzibar.
No comments:
Post a Comment