Baadhi
ya viongozi na wawakilishi wa madhehebu mbalimbali ya dini wakishiriki katika
futari aliyoiandaa Rais Jakaya Kikwete kwa viongozi wa dini ikulu jijini Dar es
Salaam jana jioni.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na viongozi na wawakilishi wa madhehebu mbalimbali
ya dini walioshiriki katika futari aliyoiandaa kwa viongozi wa dini ikulu
jijini Dar es Salaam jana jioni(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment