RAIS KIKWETE AMKARIBISHA RAIS WA LIBERIA IKULU LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Mgeni wao Rais Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia alipowasili Ikulu jijini Dar es Salaam leo kwa maongezi rasmi pamoja na dhifa ya kitaifa na mwenyeji wake.
No comments:
Post a Comment